Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Inawasaka Waliomrekodi Mtoto Akivuta Sigara

  • 18
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi baada ya kusambaa kwa picha mjongeo mtandaoni inayomuonesha mtoto mdogo wa kiume akihamasishwa kuvuta sigara.

Polisi wamesema tukio hilo ni kinyume cha sheria na maadili ya jamii, na kwamba wanaendelea kuwafuatilia waliohusika ili wachukuliwe hatua za kisheria. Aidha, wametoa wito kwa wananchi wenye taarifa kuhusu tukio hilo kusaidia uchunguzi.

Onyo pia limetolewa kwa watu wanaotumia watoto kutengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii kwa namna inayoweza kuhatarisha afya au ustawi wao kuacha mara moja, huku wakisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobainika
.

The post Polisi Inawasaka Waliomrekodi Mtoto Akivuta Sigara appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Dkt. Samia Aondoka Addis Ababa Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU
Next Post Yanga Yaanza Safari ya Historia kwa Ujenzi wa Uwanja Mpya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook