Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aitaka Serikali Kuweka Kipaumbele kwa Vijana

  • 4
Scroll Down To Discover

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amefanya tathmini ya bajeti ya Wizara ya Vijana iliyowasilishwa leo Bungeni na Waziri Joel Nanauka.

Akizungumza baada ya uwasilishaji huo, Shigongo amesisitiza kuwa bado kuna sababu kubwa ya kuongeza nguvu katika kushughulikia changamoto zinazowakabili vijana nchini, huku akitaka sauti ya vijana isikilizwe na kupewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya taifa.

Ameeleza kuwa vijana ndio nguvu kazi kubwa ya taifa, hivyo bajeti hiyo inapaswa kuzingatia mahitaji yao halisi ikiwemo ajira, ujuzi na fursa za kiuchumi.

Shigongo ametoa wito kwa serikali kuhakikisha kuwa sera na mipango ya vijana inatekelezwa kwa ufanisi ili kuleta mabadiliko chanya na endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.

🔴 Usisahau ku-like, comment na kutufollow ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

The post Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aitaka Serikali Kuweka Kipaumbele kwa Vijana appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rangi Gallery Yaitangaza Tanzania Kimataifa Kupitia Sanaa
Next Post Fahamu Umuhimu wa Gearbox Oil na Madhara ya Kutoibadilisha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook