Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Aondoka Addis Ababa Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU

  • 17
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026.

Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo pamoja na mambo mengine alishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 14 na 15 Februari, 2026.

 

The post Rais Dkt. Samia Aondoka Addis Ababa Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi Ya Tanga
Next Post Polisi Inawasaka Waliomrekodi Mtoto Akivuta Sigara
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook