Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Mwigulu Akagua na Kufungua Jengo la ICU Handeni

  • 15
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 13, 2026, amekagua na kufungua Jengo la ICU katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa Jengo hilo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 426.

Jengo hilo litasaidia kupunguza adha ya wakazi wa Handeni ambao hulazimika kusafiri hadi Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga, umbali wa kilomita 160, kwa ajili ya kupata huduma bora.

The post Waziri Mkuu Mwigulu Akagua na Kufungua Jengo la ICU Handeni appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Dkt. Samia Awasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika
Next Post Rais wa CAF Awasili Tanzania Kuhudhuria Mkutano Muhimu wa Soka
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook