Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Awasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika

  • 15
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) wa mwaka 2026, Februari 13, 2026, jijini Addis Ababa, Ethiopia, chini ya Uenyekiti wa Rais wa Kenya, Mheshimiwa William Ruto.
Kikao hiki muhimu, kinachofanyika kuelekea Mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika (Februari 14-15), kinalenga kuharakisha hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na kuimarisha msimamo wa pamoja wa Afrika katika suala zima la mabadiliko ya tabia nchi.

The post Rais Dkt. Samia Awasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika appeared first on Global Publishers.



Prev Post Kwaresma 2026: Ratiba Rasmi ya Jumapili, Alhamisi Kuu na Pasaka… Ipo Hapa
Next Post Waziri Mkuu Mwigulu Akagua na Kufungua Jengo la ICU Handeni
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook