Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video

  • 35
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu jioni ya leo ameingia kwenye ‘kashkash’ baada ya shabiki wa Simba kutaka kumshushia kichapo.

 

Sekeseke hilo limetokea nje ya Dimba la Benjamin Mkapa baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba na Esperance de Tunis, Simba ikilazimishwa sare ya 2-2.

 

Askari na maafisa usalama waliokuwepo eneo hilo, walikuwa na kazi ya ziada ya kumnusuru Mangungu dhidi ya shabiki huyo ambapo baadaye hali ilitulia na Mangungu kusindikizwa na askari na maafisa hao.

The post Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video
Next Post Simba Yachechemea Ligi ya Mabingwa Baada ya Sare ya 2 – 2
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook