Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video

  • 35
Scroll Down To Discover


Wananchi wa Mtaa wa Migungani Kata ya Sokone One jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Mnara wa Voda Sombetini baada ya watu 2 kugongwa ndani ya nusu saa na kusababisha wafunge barabara kwa mawe wakitaka kuwekewa matuta.

The post Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Lazaro Bunungu Achukua Fomu Kuwania Ubunge Peramiho – Video
Next Post Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook