Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Awasili Mwanza, Kuzindua na Kukagua Miradi

  • 38
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda, kukagua Meli ya Ambulance, kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kusukuma na Kuhifadhi Maji, pamoja na kuzindua Meli ya MV Mwanza.

The post Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Awasili Mwanza, Kuzindua na Kukagua Miradi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Marekani Yajiondoa Rasmi WHO, Trump Atekeleza Amri ya 2025
Next Post Nshala: Zuio la Mahakama Dhidi ya CHADEMA Limekoma Kisheria Desemba 10
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook