Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

  • 26
Scroll Down To Discover

Shirika la afya duniani WHO limesema linafanya kazi na mataifa wanachama kuziba pengo la kifedha lililoachwa baada ya Marekani kujiondoa. Mkurugenzi mkuu wa kuratibu miradi barani Afrika Dkt Aboubmane Diallo amesema shirika hilo litafanya mkutano karibuni kujadili mwelekeo wake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Jeneza la Mzee Edwin Mtei Lafunikwa Bendera ya CHADEMA, Lapelekwa Tengeru – Video
Next Post Watendaji Kituo Cha Uokozi Mwanza Watakiwa Kutoa Huduma Za Dharura Kwa Saa 24
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook