Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom yagawa makapu ya sikukuu kwa wateja wake Njombe

  • 53
Scroll Down To Discover

Meneja Mauzo wa Vodacom Njombe Malika Malika (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Dickson Mhapu (katikati), katika muendelezo wa kampeni ya “Tupo Nawe Tena na Tena” inayolenga kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu.

Tukio hilo lilishuhudiwa na Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom eneo la Ilembula, Anania Kiwanga (kushoto). Kampeni hiyo imeendelea kutembea mikoa mbalimbali hapa nchini.

Hafla hii limeandaliwa kwa lengo la kusherehekea pamoja na wateja, sambamba na kuhitimisha maadhimisho ya miaka 25 ya Vodacom ya utendaji kazi nchini, na limefanyika mjini Njombe mwishoni mwa wiki.

The post Vodacom yagawa makapu ya sikukuu kwa wateja wake Njombe appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 23, 2025
Next Post HERSI AIBUA DIRA YA SOKA LA AFRIKA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook