Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu Wa Rais Aondoka Nchini Kumwakilisha Rais Samia Kwenye Mazishi Ya Papa Francis

  • 17
Scroll Down To Discover

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameondoka nchini kuelekea Vatican, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maziko ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Francisko.

Misa ya maziko ya Papa Francisko itafanyika Aprili 26,2025 mbele ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro – Vatican na baadaye kufuatiwa na maziko yatakayofanyika katika Basilika ya Bikira Maria Majore (Santa Maria Maggiore).



Prev Post Waziri Mkuu Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nansio-Ukerewe Mkoani Mwanza
Next Post Mkazi Wa Maswa Ahukumiwa Miaka 30 Jela Kwa Kumbaka Binti Yake Na Kumpa Mimba
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook