Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nansio-Ukerewe Mkoani Mwanza

  • 17
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 25, 2025 amewasili mkoani Mwanza ambapo ataelekea Nansio-Ukerewe kwa ziara ya siku moja.

Akiwa katika kisiwa hicho Mheshimiwa Majaliwa atakagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali yenye hadi ya Huduma za Rufaa ya Mkoa, ataweka jiwe la msingi la jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe pamoja na kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Getrude Mongela 



Prev Post Mwanachuo Auawa kwa Kuchomwa Visu na Ex-Wake, Mama Yake Afunguka – Video
Next Post Makamu Wa Rais Aondoka Nchini Kumwakilisha Rais Samia Kwenye Mazishi Ya Papa Francis
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook