Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom yaendelea kufurahia msimu wa Sikukuu na wateja wake Arusha

  • 21
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania Plc, George Venanty (kushoto) akikabidhi kapu la Voda kwa moja ya mteja wa kampuni hiyo bi Regina Julius ikiwa ni muendelezo wa Kampuni ya Vodacom ya ugawaji wa makapu ya Vodacom kwenye msimu wa huu wa sikukuu, ikilenga kusherehekea pamoja na wateja wao. Hafla hii imefanyika Soko Kuu jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

The post Vodacom yaendelea kufurahia msimu wa Sikukuu na wateja wake Arusha appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post DROO YA KWANZA YA EXIM CHANJA KIJANJA
Next Post Nafasi 363 za Ajira Serikalini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook