Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

DROO YA KWANZA YA EXIM CHANJA KIJANJA

  • 13
Scroll Down To Discover

Mkuu wa kitengo cha Mifumo Mbadala ya Kidijitali wa Benki ya Exim Bw. Silas Matoi, akizungumza na mmoja wa washindi wakati wa droo ya kwanza ya kampeni ya Chanja Kijanja, Dili ndio Hili iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

Kupitia kampeni hii, wateja wanaotumia kadi za Exim kulipia bidhaa au huduma wanapata nafasi ya kushinda zawadi ya pesa taslimu TZS 100,000 kila wiki, TZS 200,000 kila mwezi, pamoja na zawadi kubwa za TZS milioni 15, milioni 10 na milioni 5 mwisho wa kampeni.

Kushoto ni Meneja Msaidizi wa Kitengo cha Mifumo Mbadala ya Kidijitali wa Benki ya Exim Benedict Mwinula, pamoja na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rodgers Biteko (kulia), jijini Dar es Salaam.

The post DROO YA KWANZA YA EXIM CHANJA KIJANJA appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 16, 2025
Next Post Vodacom yaendelea kufurahia msimu wa Sikukuu na wateja wake Arusha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook