

Mwanachuo wa mwaka wa pili katika Chuo cha Ustawi wa Jamii, Elizabeth Maguha ameuawa kwa kuchomwa visu na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake wa zamani (ex), chanzo cha tukio kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Global TV imefika mpaka nyumbani kwa binti huyo na kuzungumza na mama wa marehemu.
Tukio hilo limetokea Yombo Dovya, Kata ya Makangarawe, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!