Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Mwanza

  • 81
Scroll Down To Discover

Timu ya Vodacom Tanzania Plc kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye viwanja vya soko la samaki kirumba. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki kama ishara ya kuendelea kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao jijini Mwanza.

The post Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Mwanza appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Morogoro
Next Post SOWAH AKINGIWA KIFUA NA AHMEDY ALLY
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook