Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Morogoro

  • 60
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kushoto), pamoja na Meneja Mauzo na mkakati wa biashara Kanda ya Kati, Latifa Salum (kulia), wakimkabidhi kapu la sikukuu mteja Beatrice Msawanya (katikati) ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kugawa makapu kwa wateja kama sehemu ya shamrashamra na mwendelezo wa kampeni ya Vodacom ya kuwashukuru na kusherehekea wateja wake nchini katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Morogoro.

The post Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Morogoro appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Gari Lako Kila Asubuhi
Next Post Vodacom Tanzania yagawa makapu ya Sikukuu kwa wateja wa Mwanza
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook