Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom Tanzania yakabidhi Makapu ya Sikuu kwa wateja mkoani Mbeya

  • 44
Scroll Down To Discover

Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Iringa, Zidiel Mbwambo akikabidhi Kapu la sikukuu kwa Rehema Robert Mwang’onda ikiwa ni ishara ya kusherehekea na wateja wa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika eneo la Ipinda – Kyela, jijini Mbeya

Ofisa wa M-Pesa kutoka Vodacom Tanzania Plc Evelyn Mwinuka akikabidhi Kapu kwa moja ya wateja wa kampuni hiyo Lukas Njabeki Chuma, ikiwa ni ishara ya kurudisha shukrani kwa wateja wa kampuni hiyo. Tukio hilo limefanyika eneo la Ipinda-Kyela jijini Mbeya ikiwa ni muendelezo wa Vodacom Tanzania na msimu wa sikukuu wakigawa makapu ya sikukuu maeneo mbalimbali nchini.

The post Vodacom Tanzania yakabidhi Makapu ya Sikuu kwa wateja mkoani Mbeya appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post Waziri wa Ulinzi Nigeria Ajiuzulu, Jenerali Mstaafu Musa Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake
Next Post Petroli yashuka bei. Hizi ni bei za mikoa yote kwa Desemba 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook