

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro ameongoza Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, jana Alhamis, tarehe 27 Novemba 2025, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar.
The post Dkt. Migiro Aongoza Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa appeared first on Global Publishers.






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!