Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Hii hapa Hotuba ya Rais Dkt. Samia Akifungua Bunge la 13, Novemba 14, 2025 – Video

  • 13
Scroll Down To Discover

Rais Samia ameeleza safari hiyo Novemba 14, katika hotuba wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma.

Bofya hapa kusoma HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, WAKATI WA KUFUNGUA RASMI BUNGE LA 13 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, TAREHE 14 NOVEMBA 2025

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14, 2025 Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa Hotuba ya kuahirisha Bunge mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14, 2025 Jijini Dodoma.
Rais Samia  akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azan Zungu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju mara baada ya kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.



Prev Post Urusi na Ukraine Zashambuliana Usiku: Watu Wafariki, Majengo Yaharibiwa, Bei za Mafuta Yapanda
Next Post Rais Samia: Vyombo vya habari vitapewa nafasi na leseni kwa haki
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook