Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wanawake Wengi Wapo Jela India Kisa Unga

  • 10
Scroll Down To Discover

Mwanadada ambaye alikuwa akiishi nchini India kwa ajili ya majukumu ya kikazi, amerejea nchini na kufunguka kuhusu mambo mbalimbali aliyokutana nayo wakati wa kazi.

Amesema kuwa wanawake wengi nchini India wanajikuta wakirubuniwa na baadhi ya wanaume kuingia katika biashara haramu, hali inayowasababisha kukamatwa, kuchukuliwa hatua za kisheria, na hatimaye kutupwa gerezani.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Ukurasa Mpya wa Historia: Mhe. Shigongo Aapa Kulitumikia Taifa kwa Uzalendo na Uadilifu
Next Post DR Congo: Askari Mwenye Umri wa Miaka 102 Bado Anahudumu Baada ya Miaka 78
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook