
Mwanadada Hawa Ibrahim almaarufu Carina, amezikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufikwa na mauti akiwa anapatiwa matibabu nchini India.
Mastaa na watu mbalimbali wameshiriki kumsindikiza Carina kwenye nyumba yake ya milele, wakiwemo wasanii wenzake, viongozi wa dini na waombolezaji wengine.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!