
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akiongoza Matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya Wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakiwa njian kuelekea Katika Uzinduzi Maalum wa Program hiyo uliofanyika Katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam
Jokate ameongeza matembezi ya vijana hao leo Aprili 19, 2025 Jijini Dar es Salaam wakielekea katika uzinduzi wa programu Maalum ya vijana kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake na Katibu Mkuu wameweka mikakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Dk.Samia kupitia kundi la vijana wa Tanzania.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!