Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Travis Scott Kupiga Show Afrika Kusini Mwaka Huu 2025.

  • 10
Scroll Down To Discover

Baada Ya Chris Brown Kuujaza uwanja Wa FNB Unaobeba watu 94,736 Kwa Siku 2 Mfululizo, Sasa Ni Zamu Ya Rapa @travisscott Ambaye Ametangaza Kuileta Ziara Yake Ya “Circus Maximus Tour” Katika Uwanja Wa Huo Uliopo Mjini Johannesburg Nchini Afrika Kusini.

TravisScott Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Ameweka Wazi Kuendelea Na Ziara Yake Hiyo Ambapo Kwa Afrika Kusini Itakuwa Ni Oktoba 11, 2025.

Julai 2023, Travis Alitangaza Kuja Afrika Katika Piramid Za Ajabu Za Gaza Huko Nchini Misri Kwa Ajili Ya kufanya uzinduzi wa Album Yake “Utopia”, Lakini Hakufanikiwa Baada Ya Waandaji Wa Onesho Lake “Live Nation” Kudai Kupata Changamoto Ya Utayarishaji Wa Show Hiyo Eneo La Jangwa Huku Wengine Wakidai Ni Illuminati Na Tamaduni Zao Haziruhusu Hivo Vitu.

The post Travis Scott Kupiga Show Afrika Kusini Mwaka Huu 2025. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Wimbo Wa Skales “Shake Body” Ya-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke.
Next Post Diva Adai Hawezi Kuishi Vijijini Kisa Anaomba Vumbi.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook