Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wimbo Wa Skales “Shake Body” Ya-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke.

  • 51
Scroll Down To Discover

Wimbo Wa Muimbaji Wa Nigeria @skales ‘Shake Body’, Umerudi Upya Sokoni Uki-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke. Hii Ni baada Ya Wachezaji Wa Spain @lamineyamal, Nico Williams, na Samuel Aghehowa Kuicheza Kama Challenge Katika Mtandao Wa Tiktok .

Unaambiwa Tangu video hiyo ipostiwe kwenye akaunti ya #Yamal TikTok siku tatu zilizopita, Imefanikiwa Kupata views Milioni 90 na likes Milioni 10+, Na Hivyo kusababisha wimbo huo Kutumiwa Na maelfu Ya Watengeneza Maudhui Wa Mtandao Huo.

Kutokana na mafanikio hayo, Skales tayari ameachia Amapiano Remix ya wimbo huo Akimshirikisha @onderkoffer. 

The post Wimbo Wa Skales “Shake Body” Ya-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Davido Asaini Msanii Mpya Kwenye Label Yake Ya ‘DMW’.
Next Post Travis Scott Kupiga Show Afrika Kusini Mwaka Huu 2025.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook