Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Diva Adai Hawezi Kuishi Vijijini Kisa Anaomba Vumbi.

  • 11
Scroll Down To Discover

Kutoka Ukurasa Wa Instagram Wa Mtangazaji Wa #Lavidavi @divatheebawse

“Nateseka sana na haya Maisha sababu Ya allergies, My allergies ziko very strong, unaeza tapika na kukohoa damu yan … nimeishi na hii hali muda sana mafua ndio huwa yananitesa hoiii!. vumbi kidogo chafya chafya mafua kuwashwa homa kalliii mpaka unashangaa!”

“Siwez fanya usafi siwez lalia shuka wala mto mchafu yan wafanyakaz wangu inanilazimu kuwa nawafokea sana maana sina jinsi zaid ya ku keep up na lifestyle ya kutokuwa na vumbi lolote around, siwez ishi vijijini ktk vumbi siwez safari usafiri wa kawaida ulio na vumbi ata la hali ya hewa ya kawaida siku hizi hata kutoka ni nadra inanilazimu kwenda ofisin na kurud ili nisipate vumbi sababu Ya Hizi mvua” – Diva The Bawse

Ujumbe Alioandika Diva Kuhusu Kushindwa Kuishi Vijijini

The post Diva Adai Hawezi Kuishi Vijijini Kisa Anaomba Vumbi. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Travis Scott Kupiga Show Afrika Kusini Mwaka Huu 2025.
Next Post Viwanja Vya Thamani Zaidi Kuwahi Kujengwa Duniani.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook