Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Davido Asaini Msanii Mpya Kwenye Label Yake Ya ‘DMW’.

  • 37
Scroll Down To Discover

Muimbaji Wa Nigeria #Davido Rasmi Amesaini Msanii Mpya Katika Label Yake Ya “DMW”.

Kwenye Video Iliyoachiwa Na Ukurasa Wa Label Hiyo, Imemuonesha Msanii Huyo Mpya ‘Boi Chase Akiwa Na Mama Yake Pamoja Na Davido Na Timu Yake Wakifanya Kikao Cha Kukamilisha Kusaini Mikataba Huku Wakipata Chakula Cha Usiku Pamoja.

Tayari Label Ya DMW Inawasanii Kama; Logos Olori, Morravey, Huku Waliowahi Kuwa Chini Ya Label Hiyo Na Kuondoka Ni; Mayorkun, Dremo, Liya, Lil Frosh N.k.

The post Davido Asaini Msanii Mpya Kwenye Label Yake Ya ‘DMW’. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Jux Uso Kwa Uso Na D’Banj Mjini Lagos, Nigeria.
Next Post Wimbo Wa Skales “Shake Body” Ya-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook