The African BOY! @juma_jux Amekutana Na Muimbaji Mkongwe Wa Nigeria @iambangalee Huko Mjini Lagos, Nchini Nigeria Kwa Mara Nyingine Tena Tangu Mwezi Mmoja Upite Wakutane Kwenye Tuzo Za Trace Zanzibar.

Kumbuka Kuwa Jumatano hii @juma_jux alijumuika pamoja na wasanii, waandishi wa nyimbo na watayarishaji kwenye workshop ya Showbiz101 ambayo inaandaliwa na Bridge Africa huko Lagos, Nigeria.
Jux Alikuwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kualikwa kwenye workshop hiyo Kubwa inayofanyika kwa siku 5 na alikuwa mmoja wa wazungumzaji
The post Jux Uso Kwa Uso Na D’Banj Mjini Lagos, Nigeria. appeared first on Wasafi Media.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!