Rapa Sexyyred Ameweka Wazi Kushambuliwa, Akidai Kuwa Anahisi Yeye Ndio Rapa Wa Kike Anayechukiwa Zaidi.
Kwenye Mahojiano Na @bigboysneighborhood Amesema;
“Sitoongopa Kabisa, Nahisi Mimi Ndio Rapa Wa Kike Ninayechukiwa Zaidi, Wanachuki Sana Dhidi Yangu, Naona Kama Hawa Wapuuzi Wanataka Kunishusha (Tryna Bring Me Down)” – Sexyy Red
The post Rapa Sexyyred Adai Ndio Rapa Wa Kike Anayechukiwa Zaidi. appeared first on Wasafi Media.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!