Miaka Kadhaa Iliyopita Rapper Tekashi 69 Alitupa maana halisi ya namba ‘69’ kwenye jina lake la usanii pamoja na kututajia jina lake la kiserikali.
Akizungumza kwenye video juu – Tekashi Alisema, namba 6 ina maanisha idadi ya herufi za jina lake la kwanza ‘Daniel’ na namba 9 inamaanisha idadi ya herufi kwenye jina lake la pili ‘Hernandez’ – 6ix9ine (69) .
The post Tekashi Alivyotoa Maana Halisi Ya Namba ‘69’. appeared first on Wasafi Media.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!