Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kanye West Na Bianca Wameachana ?

  • 7
Scroll Down To Discover

Rapa Kanye West Na Bianca Wameripotiwa Kuachana. Hii ni kwa mujibu Wa Ngoma Mpya Ya Kanye Iliyosikika Kwenye Live stream Ya Dj Akademiks .

Kanye Amesikika Akiimba; “Bianca, I just want you to come back. Come back to me. I know what I did to make you mad”.

Hata hivyo haijawekwa Wazi Kama kanye katika wimbo huu alikuwa akielezea tukio la zamani au sasa hivi.

The post Kanye West Na Bianca Wameachana ? appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Tekashi Alivyotoa Maana Halisi Ya Namba ‘69’.
Next Post Lil Wayne Atangaza Tarehe Ya Kuachia Album Yake Mpya ‘The Carter Vi’
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook