
Kwenye Mahojiano yake na@harmonize_tz @el_mando_tz amemuuliza namna Burna boy alivyomuacha mbali Kimafanikio pamoja na wasanii wote Afrika Mashariki maana alikuwa rafiki yake
Harmonize amejibu swali hilo kwa urefu alielezea mafanikio ya wasanii wana Nigeria kuwa yameanza kujengwa tangu zamani na wasanii wakongwe.
Kuwalinganisha wasanii wa Tanzania na wasanii wa Nigeria ni kuwaonea tu maana wale wapo mbali sana.
Harmonize alimjibu El mando ameeleza kuwa changamoto sio kwa wasanii tu bali zipo kila sehemu hapa Tanzania, Mfano wachekeshaji wetu huwezi kumlinganisha@saidsaid._na wachekeshaji wa Nigeria maana yeye anachekesha Kiswahili.
Mahojiano yote ya @el_mando_tz na@harmonize_tz yapo kwenye ukurasa wetu wa YouTube
Cameraman @samirkakaa & Abbrah255BM
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!