
Katika Mahojiano yake @harmonize_tz aliulizwa kuhusu kukutana na @diamondplatnumz Zanzibar kwenye
Trace pia kurekodi na kupost magari ya Diamond.
Konde amelipangua swali hilo na kusema hiyo ni Interview yake hataki mtu Mwingine A-Shine.
@el_mando_tz kamuuliza baada ya kufika kwenye Show ya Burna boy Nairobi Kenya hakutumbuiza kwa sababu hakufanya Sound Check, kitu gani amejifunza kwenye Tukio la yeye kukatazwa kupanda Jukwaani??
Mahojaino yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa & Abbrah255
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!