
Kwenye Mahojiano na @el_mando_tz @harmonize_tz amejibu kuhusu kufanya Collabo na @officialalikiba ambapo ilitajwa sana miezi kadhaa nyuma.
Harmonize anasema hana Collabo yoyote na Alikiba na hajaongea naye chochote kuhusu kufanya naye kazi, kama wataongea basi wataweka wazi.
Kuhusu Clip ya Kumvalisha Alikiba Cheni yake na Alikiba kuilimbia, Harmonize anasema Alikiba alitania sio kwamba alikataa bali aliongea kama utani kwamba Inabeba Nyota.
Mahojiano yote ya @el_mando_tz na @harmonize_tz yapo kwenye ukurasa wetu wa YouTube wa Bongofive.
Cameraman @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!