Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

  • 11
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa usiku wa Aprili 5, 2025 anaongoza harambee ya kuwezesha maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa kwenye ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma.

Maadhimisho hayo yatafanyika Kitaifa mkoani Singida Mei 01, 2025 na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Ridhiwani Kikwete, Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamuhokya, Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria harambee hiyo.



Prev Post Dua Maalum ya Alhaj Omary Rashid Mchengerwa Yafanyika Rufiji, Pwani
Next Post Harmonize: Sina mpango na Collabo na Alikiba
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook