
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Collabo ijayo ya Harmonize na msanii wa Marekani Miri Ben-Ari.
Anasema Collabo hiyo itakuwa na Impact kubwa sana kwenye muziki wa Harmonize kupitia tu kwa mwana dada Miri Ben-Ari
Anasema Miri Ben-Ari licha ya kufanya kazi na Diamond pia alishawahi kufanya kazi na Jay Z, Kanye West, Nas, Daddy Yankee na wengine.
Kwa namna hii anasema Harmonize anaisaka Tuzo ya GRAMMY kimya kimya na atakuja kuwashangaza wengi.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!