
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzungumzia msanii Juma Jux namna watu wanavyom-Underret Tanzania.
Anasema mfano mdogo tu ukiangalia vitu anavyovifanya Nigeria Bongo havizungumzwi kama angefanya msanii mwingine wa hapa hapa Tanzania.
Anasema kwa namna alivyofanya muziki mkubwa 2023, 2024 na 2025 anadiriki kusema JUX NI UNDERRATED TANZANIA, hapewi heshima anayostahili kama wanavyopewa wasanii wengine.
Ametaja majukwaa aliyopanda, Tuzo alizoshinda na namna anavyopata Numbers kwenye Digital Platfom, angalia Matukio anayofanya Nigeria ila watu wapo Kimyaaa.
Kwa upande wako unampa asilimia ngapi @el_mando_tz
Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!