
Wengi wanaodili na mambo ya sherehe wanaamini kupitia matumizi bora ya ukumbi wakati wa sherehe Inasemekana jopo la baadhi ya washereshaji wanakerwa na baadhi ya watu kwenye matukio mbalimbali ikiwemo sherehe kecheza juu ya viti
Sasa hapa ni mfano wa video fupi ya siku za nyuma ikimuonyesha moja ya Washereshaji wakubwa Nchini Tanzania @mcmtamah je hii ni sawa ???
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!