
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia ngoma ya ME TOO ya Abby Chams inavyotikisa London.
Anasema kwa namna mikakati ya Harmonize na Abby Chams ilivyo basi mwaka huu watasumbua sana na huenda ndio itakuwa mara yao ya kwanza kuingia hata kwenye tuzo za GRAMMY.
Ukiachilia mbali ME TOO Harmonize ametangaza collabo na Miri Ben Aree ambayo inatoka Ijumaa na hiyo ni Ngoma ya Kimataifa.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman &Editor @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!