
FID Q KUTUMBUIZA BONGO FLEVA HONORS
Ukisikia Wakongwe kazini ndio hii hapa, Heshima kwa Mkongwe @therealfidq kwa kutambulishwa mapema leo kuwa msanii atakayekiwasha siku ya Bongo Fleva Honors siku ya tarehe 2/5/2025 katika maeneo ya The Cask Bar kawe.
Muasisi wa Bongo Fleva Honors ambaye ni @the realjongwe ametoa neno kwa undani zaidi juu ya tukio hilo kwa ujumla.
#BongoflevaHonors #HeshimakwaWakongwe
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!