Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mapungufu ya wimbo wa Harmonize Finally

  • 7
Scroll Down To Discover

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Harmonize Finally aliyomshirikisha Miri ben Ari.

Anasema kuwa ukweli ni kwamba Harmonize amejitahidi sana kuitafuta Collabo na Miri ben Ari lakini hawajautendea haki wimbo na wimbo unaonekana wakawaida.

Anaongeza kuwa Kwa sababu huu ni wimbo wa mwisho kabla ya Album basi tuendelee kusubiria huenda Nyama zipo chini.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa



Prev Post Diamond hampendi Zuchu?analinda biashara yake
Next Post RECAP: Zuchu ajitathimini bado hajamtumia Diamond kimuziki – El Mando
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook