
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amefafanua kwa undani kuhusu sakata la Zuchu na mpenzi wake Diamond.
Anasema ukweli ni kwamba Diamond inaonyesha kuwa naye kwenye mahusiano sio kwamba ni mwanamke aliyempenda bali aliamua kuingia naye kwenye mahusiano kwa lengo la kulinda biashara yake.
Diamond anajua kabisa ile ni biashara yake tena biashara kubwa hayupo tayari kuipoteza kiurahisi kwahiyo anajua kabisa nini anachofanya.
Uchambuzi wote upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!