
Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Comeback ya wasanii wakongwe ilivyoongeza Impact kwenye muziki wiki hii.
Mr Blue ametoa ngoma tatu kwa pamoja ambazo zimeonyesha namna gani wasanii wa Hip Hop wa sasa bado wana safari ndefu sana kuirudisha Hip Hop tena.
Kuna Utofauti mkubwa sana wa Quality ya Muziki kati ya wasanii wa kizazi hiki na Quality ya muziki kwa wasanii wakongwe.
Ukisikiliza ngoma zote tatu za @mrbluebyser1988 utagundua hilo lakini pia ukiangalia alichofanya @jidejaydee kwenye Goodness of God utaona utofauti mkubwa sana kwenye Ubora wa Muziki.
Wasanii wetu wa Hip Hop wa kizazi hiki hawafanyi vizuri kwa sababu nyimbo zao nyingi hazigusi Jamii na Hip Hop yao haizungumziii maisha ya Mtaani.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!