Mamia ya wanaharakatai, akiwemo mwanamazingira kutoka Uswidi Greta Thumberg wamekamatwa mapema leo na kuzuiliwa na jeshi la Israel walipokuwa wakielekea Gaza kupeleka misaada. Thumberg ambaye anajihusisha na safari ya aina hii ya maboti yenye kubeba misaada inayoelekezwa Gaza, anatarajiwa kutolewa katika eneo hilo kupitia bandari moja nchini Israel.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!