Mgombea Ubunge katika Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama Septemba 27, 2025 akiwa anacheza ngoma ya Kioda katika Kijiji cha Serakano Kata ya Liganga Wilaya ya Songea Vijijini. Jenista Mhagama anafanya kampeni za kunadi sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025 -2030 kwenye kila Kijiji ndani ya Jimbo la Peramiho na kuomba ridhaa ya CCM kuendelea kuiongoza Serikali katika kipindi cha miaka mitano 2025-2030.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!