Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Nchimbi Azuru Nyumba na Kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama

  • 12
Scroll Down To Discover

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo,Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM.

Dkt.Nchimbi ameingia mkoani Mara hii  Agosti 30, 2025 akitokea mkoa wa Mwanza ikiwa ni katika harakati za kuomba ridhaa ya watanzania katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba 29, 2025.

 



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 31, 2025
Next Post Spika wa Zamani wa Bunge la Ukraine Andriy Parubiy Auwawa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook