Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

NMB TABORA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA

  • 36
Scroll Down To Discover

Benki ya NMB imefanya kongamano maalum na wafanyabiashara wa mkoa wa Tabora, likilenga kujadili fursa za kifedha na huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo.

Meneja Mwandamizi wa Idara ya Biashara wa NMB, Dickson Richard, akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, amesema benki imejipanga kuendelea kushirikiana kwa karibu na wafanyabiashara katika kuwawezesha kifedha na kukuza biashara zao.

Kongamano hilo limewaleta pamoja wafanyabiashara wa Tabora, likiwa jukwaa la kuimarisha mahusiano na kuonesha nafasi ya benki katika kuchochea ukuaji wa biashara na uchumi wa eneo hilo.



Prev Post BAADA YA KUIONA SIMBA YA MSIMU….ALLY KAMWE KAKUNA KICHWA WEEE…KISHA AKASEMA HILI….
Next Post NMB, RELIANCE WAKABIDHI FIDIA YA MILIONI 120 BAADA YA MOTO SOKO LA MASHINE TATU
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook