Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Samia Amnadi Dkt. Mwinyi Katika Kampeni za CCM, Makunduchi

  • 35
Scroll Down To Discover

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 17, 2025 amemnadi Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja – Zanzibar.

Katika mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi, Dkt. Samia alisisitiza mshikamano na mshikikano wa kitaifa, akiwataka wananchi kuendelea kuiamini CCM kwa uongozi wa nchi zote mbili – Tanzania Bara na Zanzibar.

Aidha, amesisitiza dhamira ya chama hicho kuendeleza maendeleo, kuimarisha umoja na kulinda amani ya taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. 



Prev Post Ziara ya Rais Trump Uingereza Yagubikwa na Vita ya Ukraine
Next Post RC MAKONGORO AZINDUA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI WA BIASHARA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook