Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mchengerwa Azindua Kampeni za CCM Rufiji kwa Kishindo

  • 4
Scroll Down To Discover

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa, amewasili katika Viwanja vya Ujamaa leo Jumamosi, Septemba 13, 2025, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Mchengerwa alipokelewa kwa shangwe na kusalimiana na wananchi pamoja na wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tukio hilo muhimu.

Uzinduzi huo ni sehemu ya mikakati ya chama hicho kujinadi kwa wananchi na kuwaomba kura kwa ajili ya ushindi wa kishindo katika ngazi ya urais, ubunge na udiwani.



Prev Post Dkt. Mwinyi Azindua Kampeni za CCM Zanzibar kwa Kishindo
Next Post Eric Shigongo kuzungumzia fursa za Afrika katika jukwaa la kimataifa la ujasiriamali
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook