Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwinyi Azindua Kampeni za CCM Zanzibar kwa Kishindo

  • 6
Scroll Down To Discover

ZANZIBAR-Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Septemba 14,  2025 amezindua rasmi kampeni za Chama Cha Mapinduzi katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Mjini Magharibi.

Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi ameahidi kuendeleza kasi ya maendeleo kwa kuweka mkazo katika amani, elimu, afya, kilimo, ajira kwa vijana, miundombinu na uwezeshaji wananchi kiuchumi.

 



Prev Post Rais Trump Ataka NATO Kusitisha Ununuzi wa Mafuta ya Urusi
Next Post Mchengerwa Azindua Kampeni za CCM Rufiji kwa Kishindo
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook